Card image cap

Tunafunga mwaka 2026 kwa burudani ya kipekee! Jiunge nasi tarehe 18 Desemba 2026 Las Carinyo Joint - Kinondoni, kwa usiku wa muziki wa Live kutoka kwa mfalme wa masauti Christian Bella, akiambatana na bendi yake ya Malaika Band. Jiandae kufurahia burudani nzuri kwa nyimbo zinazogusa mioyo na ladha halisi ya muziki wa Live. Ni usiku wa kipekee wa kusherehekea mafanikio ya mwaka 2026 kwa muziki, furaha na kumbukumbu zisizosahaulika. Usikose kuwa sehemu ya historia hii!