Card image cap

🔥 DVOICE EXPERIENCE – USIKOSE USIKU HUU🔥 Jiandae kwa usiku wa aina yake uliojaa burudani, muziki, shamrashamra na vibes za kipekee katika DVOICE EXPERIENCE, utakaofanyika tarehe 12 Desemba 2026, Dar Village! Huu ni usiku wa kukutana, kufurahia muziki, kusherehekea maisha na kutengeneza kumbukumbu zisizosahaulika. Kama unapenda burudani nzuri na mazingira yenye msisimko, basi hapa ndipo mahali sahihi kwako! Tarajia burudani ya kipekee, mandhari ya kuvutia na uzoefu ambao hutaki kusimuliwa na wengine