Card image cap

🔥 DEN FLEVA NIGHT – BELLE 9 x MATALU MAA 🔥 Jiandae kwa usiku wa kipekee uliojaa burudani, muziki mzuri na vibe za nguvu katika DEN FLEVA NIGHT! Tunakuletea burudani ya aina yake kwa kushirikisha mastaa wa muziki na burudani akiwemo Belle 9, MataluMaa, Appy pamoja na DJ Mushizo. Tarajia shoo kali, muziki wa kukata na shoka, burudani isiyo na kikomo na mazingira yatakayokufanya ufurahie kila dakika ya usiku huu. Kama wewe ni mpenzi wa muziki, burudani na maisha ya usiku, basi huu ni usiku ambao hupaswi kuukosa! 🎶 Muziki Mtamu 🔥 Burudani ya Kipekee 💃 Vibe za Hali ya Juu DEN FLEVA NIGHT – Usiku wa kukutana na burudani isiyo na mipaka!