Card image cap

*TAMASHA LA SIFA NA SHUKRANI ni tamasha la nyimbo za sifa na kuabudu lililoandaliwa na Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga – Kigamboni, kwa lengo la kumshukuru Mungu kwa baraka za mwaka 2026. Kwaya mbali mbali kutoka ndani ya Jimbo katoliki za Dar es Salaam, zitashiriki. Tamasha litafanyika Jumapili, tarehe 27 Desemba 2026, kuanzia saa 8:00 mchana (2:00 PM) katika ukumbi wa Shamba Executive Hall, Kibada – Kigamboni.*