Arusha, mpo tayari? Udan Gang inakualika kwenye usiku wa kihistoria wa uzinduzi wa albamu Yao mpya na ya kipekee: "Mguu Wa Kutoka" Hii sio ya kukosa! Njoo ushuhudie ngoma mpya zote kutoka kwenye albamu, vibes za hatari na Uwezo wa kuperform LIVE. Njoo na wana, tuchafue meza kwa pamoja. Note: Unaweza kununua tickets kwa Tsh 5000 au nunua product yoyote ya UDAN GANG Tshirt - Tshs 20,000 au Hood - Tshs 35,000 na upate access ya kufurahia pamoja na sisi.