Description: π₯π CHUO FESTIVAL β BATA LA WANA CHUO! ππ₯ MWANZA, JIANDAENI KWA USIKU WA HISTORIA! ππΆ Desemba hii, burudani inahamia ufukweni! ποΈπ₯ Jiandae kushuhudia burudani ya nguvu kutoka kwa staa wa Bongo Fleva, MBOSSO, katika tamasha kubwa la CHUO FESTIVAL, litakalofanyika Malaika Beach, Mwanza! π€ Nyimbo kali za kuimba pamoja, muziki wa kusisimua, vibe za ufukweni na kumbukumbu zisizosahaulika β yote haya yanakusubiri katika usiku mmoja wa kipekee! Wakusanye washkaji zako, jiandae kupiga picha, kucheza na kufurahia burudani mwanzo hadi mwisho. Hii siyo siku ya kukaa nyumbani, ni siku ya kwenda kutengeneza historia! π₯ππ½πΊπ½