Card image cap

MIAKA 20 YA ISHA MASHAUZI – SI LEVEL YAKO Jitayarishe kwa usiku wa kipekee wa muziki, burudani na shangwe kutoka kwa Isha Mashauzi katika kusherehekea miaka 20 ya safari yake ya muziki. Usikose fursa ya kushuhudia burudani ya aina yake, muziki mzuri na performance ya kipekee katika ukumbi wa Super Dome Masaki, Dar es Salaam. Ni usiku wa historia, kumbukumbu na burudani ya kiwango cha juu. Miaka 20 ya muziki inastahili kusherehekewa kwa namna ya kipekee! 🔥 Miaka 20 ya Isha Mashauzi – Si Level Yako. Usikose!