Card image cap

ChekaNasi Comedy Show ni jukwaa la stand-up comedy linalolenga kukuza vipaji vya wasanii wa comedy, kuwapa nafasi ya kuonyesha uwezo wao na kujenga kizazi kipya cha comedians wenye uwezo wa kushindana ndani na nje ya Tanzania. Maono yetu ni kuwa jukwaa bora la kukuza na kuibua vipaji vya comedy Tanzania na kufikia hadhira ya kimataifa. Dhamira yetu ni kutoa fursa na mazingira bora kwa comedians kuendeleza vipaji vyao, kupata uzoefu wa jukwaani na kutoa burudani bora kwa mashabiki.