πΆ TAMASHA LA ENYUNGU YA BUHAYA 2026 β DODOMA πΆ Karibu Tamasha la Enyungu ya Buhaya 2026, tukio maalum la kuenzi, kuhifadhi na kuendeleza utamaduni, mila na desturi za watu wa Buhaya. Tamasha hili litawakutanisha wadau, familia, marafiki na wapenzi wa utamaduni katika mazingira yenye burudani, muziki, ngoma za asili, vyakula vya asili, sanaa na mshikamano wa kijamii Ni fursa ya kipekee kujifunza, kusherehekea na kuendeleza urithi wa Buhaya huku tukifurahia burudani na mandhari ya kipekee ya tamasha. π₯ Usikose! Njoo na familia na marafiki tusherehekee utamaduni, umoja na urithi wetu. TAMASHA LA ENYUNGU YA BUHAYA 2026 β UTAMADUNI WETU, URITHI WETU! πΉπΏπΆ