π MAMA YAANGU β THE FEVER π₯ Jiandae kwa usiku wa kipekee wa burudani kwenye MAMA YAANGU β THE FEVER! ππ€ Usikose burudani kali kutoka kwa BILLNASS, akileta performance ya nguvu na hits zake zinazopendwa na mashabiki. π€π₯ Ni usiku wa muziki, burudani, vibe kali na kumbukumbu zisizosahaulika. Mualike mtu wako, kusanya crew yako na uwe sehemu ya The Fever! π₯ MAMA YAANGU β THE FEVER 05 Sept | Kitambaa Cheupe, Sinza | Billnass Live πΆπ₯