Card image cap

MARIAN CONCERT: Ni tamasha la kiroho linalolenga kumheshimu, kumsifu na kumtangaza Mama Bikira Maria kwa Vipaji mbalimbali likiwahamasisha waamini kuishi katika tumaini la Kristo kwa mfano wa Mama Maria. LENGO LA MARIAN CONCERT 2026: Kutoa Elimu kuhusu Mama Bikira Maria, Burudani na Uinjilishaji pamoja na uwekezaji katika Teknolojia itakayosaidia kueneza Elimu ya Kimaria (Marian Education) kwa vizazi vya sasa na vijavyo.