Card image cap

Kwaya ya Mtakatifu Benedicto imeandaa TAMASHA LA YESU ANAWEZA 2026 ikiwa ni awamu ya 3 ambayo ni pamoja na kuadhimisha miaka 60 ya kwaya. Ujumbe utakaobeba tamasha hilo ni "TULITOKA KWAKE, TUNAISHI KWAKE, MIAKA 60 YA NEEMA"