Card image cap

Twanga Pepeta: Ça Va Bien Live Experience ni tukio maalum la uzinduzi wa Albamu ya 16 ya Twanga Pepeta Entertainment, albamu inayobeba nyimbo 16 zenye ladha mbalimbali za muziki na kuonesha ubunifu, ukuaji wa bendi hiyo kongwe inayopendwa na maelfu ya mashabiki ndani na nje ya Tanzania.