Card image cap

Utakuwa ni usiku wa Kusisimua wa stand-up comedy unaosherehekea vichekesho vya Africa kwa lugha ya Kiswahili, ukihusisha wachekeshaji bora kutoka Tanzania na vichekesho halisi kutoka hapa nyumbani. Kama sehemu ya tamasha la kwanza kabisa, inatoa ucheshi mkali, simulizi za kuvutia na uhusiano wa kitamaduni unaowaleta watu pamoja kupitia vicheko.