Card image cap

TAMASHA KUBWA LA KASWIDA – EID PILI UBUNGO PLAZA MAZAUGRAND EID 2026 Jiunge nasi katika sherehe ya kipekee ya Eid Pili kupitia Tamasha Kubwa la Kaswida litakalofanyika Ubungo Plaza! Hili ni tukio maalum linalokusanya wapenzi wa kaswida za kumsifu Mtume na Kumtukuza Allah SW katika mazingira ya stara ya kuzingatia misingi ya kimaadili na nidhamu ya kiislam na kuongeza furaha, mshikamano na burudani safi kwa familia nzima. Utapata fursa ya kushuhudia maonyesho ya kuvutia kutoka kwa wasanii mahiri wa kaswida, sauti tamu na ujumbe wa kugusa nyoyo utakaoifanya Eid yako kuwa ya kipekee zaidi. Njoo tusherehekee pamoja, tuimarishe upendo na umoja katika #nimtokowaeid Usikose MAZAUGRAND EID 2026 – Tukutane Ubungo Plaza!