Card image cap

“Taste of Tanzania: Chefs’ Alliance Showcase – Karibu ujionee ladha za kipekee kutoka kwa wapishi bora wa Tanzania! Tukio hili linaunganisha ubunifu wa jikoni, vyakula vya asili, na mitindo ya kisasa ya mapishi, likiwa jukwaa la kuonja, kujifunza na kuunganishwa na wabunifu wa ladha bora